Msanii wa Hip Hop kutoka Mwanza maarufu kama Fareed Kubanda a.k.a Fid Q baada
kuona ujio mpya wa Stamina unakuja vizuri katika tasnia hii ya muziki
wa Hip Hop leo aliweka wazi na kusema kwamba Stamina hakuwa na dhumuni
la kutambulisha ngoma yake mpya mapema inayokwenda kwa jina Wazo la Leo
ila sababu ni baada ya ngoma yake nyingine mpya inayofahamika kwa jina
la Ushauri nasaha kuvuja ndiyo stamina anaamua kuchukua uamuzi wa
kutambulisha ngoma yake mpya Wazo la Leo.
Kupitia katika ukurasa wa twitter leo Fid ndiyo aliamua kuweka wazi kwa mashabiki kuhusu Stamina
Kupitia katika ukurasa wa twitter leo Fid ndiyo aliamua kuweka wazi kwa mashabiki kuhusu Stamina
إرسال تعليق