Global Publishers Ltd inaomba radhi kwa wasomaji wake.

Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line, wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani hii: http://www.mypublications.info/globalpublishersltd 
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.
Asanteni kwa uvumilivu wenu
Web Master.
Global Publishers Ltd.

Post a Comment

Previous Post Next Post