Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko
hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema
leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa
tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake
ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line,
wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani
hii: http://www.mypublications. info/globalpublishersltd
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.
Asanteni kwa uvumilivu wenu
Web Master.
Global Publishers Ltd.
إرسال تعليق