
Tunasema
asante kwa uvumilivu wenu na kutuelewa kila mlipotupigia simu kuulizia
hali ikoje,tunawashukuru pia kwa simu zenu kwani tumejiona ni wenye
bahati na kumbe mchango wetu mnautambua vizuri asanteni sana wadau
Tunatoa
shukurani kwa wadau wetu wawezeshaji Benki ya NBC, Benki ya NMB,NHIF,
TTB, SERENGETI BREWERIERS , WILNA INTERNATIONAL ,BAYPORTna R&R kwa
uvumulivu wenu tunasema asanteni sana na Mablogger wote ambao
walitusemea wakati tulipokuwa na tatizo hili.
Shukurani
za Pekee zimwendee Mustafa Selemani mtaalam wetu na timu yake kwa
kuhakikisha wanarekebisha tatizo hilo mpaka tunarejea tena hewani usiku
wa kuamkia leo tunakushukuru Mustafa na timu yako ya G5CLICK.
Mwisho
tunasema kazi inaendelea mbele na wadau wote mnakaribishwa ktutumia
habari na matukio mbalimbali kupitia Email ya johnbukuku@gmail.com na
info@fullshangweblog.com nasi tutazimuvuzisha mtandaoni kama kawaida.
إرسال تعليق