Haya ni Mashirika 10 ya ndege ya hatari kuliko yote kwa ajali duniani

2585915qtewxO4x1 Mashirika 10 ya ndege ya hatari kuliko yote kwa ajali duniani
Utafiti haukujumuisha vitu vilivyosababisha ajali, wala kama hitilafu ni ya ndege au la, hivyo matokeo haya siyo kipimo kamili cha usalama wa mashirika haya ya ndege.
Kati ya mashirika ya ndege 60 yaliyoangaliwa, mashirika haya 10 hapa chini ndio yenye rekodi mbovu za kiusalama kuliko yote, ikiwemo idadi ya ajali tangu mwaka 1983, na idadi ya vifo zilizosababisha.
#10 SkyWest Airlines: ajali tatu, vifo 22
#9 South African Airways,: ajali 1, vifo 159
#8 Thai Airways International: ajali 5, vifo 309
#7 Turkish Airlines: ajali 6, vifo 188
#6 Saudia: ajali 4, vifo 310
#5 Korean Air: ajali 9, vifo 687
#4 GOL Transportes Aereos: ajali 1, vifo 154
#3 Air India: ajali 3, vifo 329
#2 TAM Airlines: ajali 6, vifo, 336
#1 China Airlines: ajali 8, vifo 755
Imetafsiriwa kutoka yahoo.com. Data zimetoka katika shirika la utafiti wa ajali za ndege (J.A.C.D.E.C. – Jet Airliner Crash Data Evaluation Centre)

Post a Comment

أحدث أقدم