Nyota
wa muziki wa Bongo flava Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa na furaha
kukutana na Maria ambaye ni mcheza shoo wa african Stars aka Twanga
Pepeta.Hii ni miaka minne iliyopita na hapa ni ukumbi wa TCC (Sigara)
Chang'ombe Temeke jijini Dar es salaam.
إرسال تعليق