HII NDIO MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI KAMPUNI YA KIJANA WA KITANZANIA.

 Hatimaye Jocktan Maluli, Muhitimu wa Shahada Kwanza Ya Sanaa ya Uchoraji na Ubunifu kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) afungua KAMPUNI inayojihusisha na masuala mazima ya mitindo inayokwenda kwa jina la MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI, Kampuni hii imefunguliwa mwishoni mwa mwaka 2012 na kwa sasa inaelekea kuwa habari ya mjini kwani anajipanga kufanya show kubwa jijini dar, bila kusahau kuwa pembeni akiwa na Scholastica Sango ili kukupa radha nzima ya makeke,

OFISI ZA MAKEKE AFRIKA KOLEKSHENI ZIMEFUNGULIWA NA ZIPO


BOKO BARABARA YA BAGAMOYO

KWA MAWASILIANO : makekeafrika@yahoo.com

Post a Comment

أحدث أقدم