Nyota ndogo
aliimba kuwa kuna watu na viatu, mimi nasema watu ni wengi hapa duniani lakini
binadamu ni wachache.
Ukitaka kuamini maneno haya angalia picha hii hapa ya
dada Happy Erasto mkazi wa Kibirizi Kigoma jinsi alivyounguzwa kwa petrol na
kijana mmoja anaedaiwa kuwa dereva wa Boda boda na kulazwa katika hospitali ya
mkoa wa Kigoma -Maweni.Picha Na - Rashid Matinde - Kigoma.
|
إرسال تعليق