HUYU MSANII NDIO BOY FRIEND MPYA WA CIARA.

              Anaitwa Future na ndio msanii anaye tamba na Nyimbo kama `Same Dam Time  Na Turn Off The Lights' ,Future yupo lebel moja na Ciara `Epic Record label' na wamekuwa wakifanya kazi pamoja kwenye studio hio kwa mwaka sasa. Interview ya mwisho aliyo fanyiwa Future kuhusu Mixtape yake mpya na maendeleo yake kwenye mziki Future alifunguka kuhusu uhusiano wake na Ciara Nakusema kwa sasa hawezi sema lolote ila Ciara hataenda kokote na wana pendana sana, Future alisema Ciara anamfurahisha sana na yeye anapenda kampani yake. Wakiwa karibu wanajiskia vizuri kitu ambacho nimuhimu kwenye mahusiano alisema Future. 

Fahamu kuwa tayari wamefanya wimbo pamoja na ni single ya Ciara Sorry Remix ft Future. 

Hii Ndio Video Ya Future - Turn Off The Lights.


Post a Comment

Previous Post Next Post