Balozi
wa Uingereza anayemaliza muda wake Mhe. Diane Corner akimkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Kitabu cha historia ya Uendeshaji Jeshi la Wananchi wa
Tanzania kilichoandikwa kwa ushirikiano wa wataalamu wa historia kutoka
JWTZ na ubalozi wa Uingereza, wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga
ikulu jijini Dar es Salaam Jana bada ya kumaliza muda wake wa kufanya
kazi nchini. Picha na Freddy Maro-Ikulu
إرسال تعليق