IZZO BIZNESS - BALL PLAYER LYRICS

Artists:              Izzo Bizness ft. Quick Rocka, Ngwair & Ruth
Song:                Ball Player
Beat:                 Nahreel
Vocal & Mixing:  Lamar [Fish Crab CookOuts]

Intro:
Yes it's fish crab cook out
You know how we do yeah
Another one
Lamar...
In the saaame beat

We risin'
It's fish crab cook out
Nahreel, Izzo B, Quick Rocka, Ngwair

Aahh... What you sayin' man...

Chorus: Quick Rocka
I gotta keep on moving
And my hood still shinin'
I gotta keep on moving
And my hood still shining...
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player

Verse1: Izzo Bizness

Baba Mama wananiombea niweze fanikiwa,
Hata watu wangu wa Mbeya hivyo hivyo pia
Kama snitch we jipange jipange tena sana,
Salute kwa Mama Mwakapange umetulea mama
Nimekuja DAR sina ghetto, Ila now naishi kwangu
Kiaina mambo mpeto, namshukuru mungu
Big up kwa Salehe Gadau, na Beka Masonga
Kiukweli me sitosahau, na mbele tunasonga
Plan zipo mpaka Z, ila ndio kwanza nipo plan A
Aah... Hustle hard everyday,
Ukinikuta kariakoo, utasema sio mimi
Kwenye pesa toa macho, ndo kanuni ya mjini
Kama kweli unanisikia, siku hizi mchongo pesa
Hata uwe mbaya wataaminia, ma-sister duu utawatesa
Utaitwa handsome, hata kama sura mbaya
Hii ndio daslam, unakana kwenu huna haya
Eti am flexin' all day
Nigga unajiona Mike Kimei....
Chorus: Quick Rocka
I gotta keep on moving
And my hood still shinin'
I gotta keep on moving
And my hood still shining...
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player

Verse2: Ngwair
Cowwizy !!!
Yo !
Me na hustle hard ndo swagga zangu everyday /
Big beats zina hit kwa streets bila Dre /
Kumbuka nilizaliwa Mbeya mwanachemba wa east zu /
Mbili ni bora zaidi ya moja na tatu ndo Denja Vu /
Mwanajeshi ambaye mpaka usingizini nimejikoki /
Maisha siwezi kuyachekea coz yangu sio ya Joti /
Me huu mziki huwa naudai ndo mana huwa sichoki /
A.K.A MIMI bado inaimbwa kitaani ka karaokee /
Wakati we umezubaa unanidiss kwa mtaa /
Me nafanya business zangu na Quick kwa Lamar /
Kwanza nikifika huwa nakunywa navuta ka niko bar /
Then kwa booth natoa sauti za busara kwa Z'bar /
Haujui  nilivyo hustle mpaka leo kuwa Ngwair /
So we ongea ongea hizo diss.com me nishazizoea /
Unaweza paka unavyotaka me sijali ukininyea /
We una beef njoo ghetto dogo ndo ataekukojolea /
Yeah am flexing all day /
Nigga Acha u***ge saka pay /
Holla !!!

Chorus: Quick Rocka
I gotta keep on moving
And my hood still shinin'
I gotta keep on moving
And my hood still shining...
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player


Verse3: Izzo Bizness

Izzo ndio Mbeya
Iko wazi waulize na wanajua....
Haifichiki iko wazi we dafu na nakufua
Salute kwa kaka zetu japo wachache wenye love
Hawatupendi si wa sasa kumbe kisa cha kipumbavu
Kurudi kweli ntarudi ntarudi kusalimia
Hapa kazi sala juu ukibana basi utaumia
Huu muziki sijaanza juzi usipagawe me na-shine
Muuza nyago zako makuzi, usijaribu ku-combine
Mishe mishe hustle hard kama kawa
Mbeya nimewavalisha hawa waduanzi wanapagawa
Demu wako shabiki wangu kipi sasa we unanuna
Itakuaje akisuuza rungu si utaomba nirudi mazima
Am a music enteprenuer
Yes!! You can call me Izzo Biznaaa
Whatsup Yayaa
Salute kwa washua kwa kunikuza mee
Wanafiki wanaochonga me sawasikii
Izzo naongeza bidiii

Chorus: Quick Rocka
I gotta keep on moving
And my hood still shinin'
I gotta keep on moving
And my hood still shining...
Cause I Move like ball player
I Move like ball player
Cause I Move like ball player
I Move like ball player

I move like ball player....
(Repeat till fade)

Post a Comment

أحدث أقدم