
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni Januari 30. 2013.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam jana jioni.(PICHA NA IKULU).
إرسال تعليق