JOKATE AJIACHIA KWENYE STAGE SIKU YA UZINDUZI WA ALBUM YA PASAKA NA KUWAACHA WATU MIDOMO WAZI

HAPA NI JOKATE AKIONYESHA UWEZO WAKE KWENYE STAGE KATIKA UZINDUZI WA KALA JEREMIAH
JOKATE NA KALA



Kuachilia uwezo wake wa ufanisi katika urembo Jokate aka KIDOTI ameweza kudhihirisha kuwa yeye anavipaji mbali mbali na anauwezo mkubwa wa kuiburudisha jamiii. Jokate ni mwanadada mrembo anayemiliki KIDOTI www.kidotiloving.com hapa nchini Tanzania.Kupitia KIDOTI Jokate anaendelea kuwavalisha vijana wa hapa mjini kwa style ya mavazi mazuri sana na vile vile bila kusahau urembo na style za nywele kwa wadada wa kitanzania na hata nje ya Tanzania. Big UP TO YOU JOKATE.

Post a Comment

Previous Post Next Post