KAMA WEWE NI SHABIKI WA GODZILLA BASI HII INATUHUSU
Hisia0
Msanii wa Hip Hop kutoka Salasala maarufu kama Godzillasiku anayo furaha baada ya kutimiza miaka kadhaa toka azaliwe. Sisi kama Team @Fetttythebest Tunamtakia all the best katika game na harakati nzuri kwenye game.
إرسال تعليق