Baada ya mastaa wawili wa
muziki kutoka nchini marekani kuitembelea nchi ya Ivory Cost katika tuzo za KORA
hivi karibuni, nguli wa scandle Kim Kardashian ambaye anaujauzito wa rapa Kanye
West, ametia timu nchini Ivory Cost pia.
Kim Kardashiani ambaye ni staa
anayeongoza kuzungumziwa katika mtandao wa Internet ameonekana akitupia ujumbe
katika ukurasa wake wa Tweeter kuwa amesha tua nchini Ivory Cost kwaajili ya
kutalii.
CHANZO: ASILI YETU
Post a Comment