Kinana,
Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi katika stesheni ya Dar es
salaam kabla ya kupanda treni mjini Dar es salaam kwenda Kigoma leo.
Katibu Mkuu Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma.
Katibu
Mkuu wa CCM Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti
waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es salaam jioni hii.
Katibu
wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono
baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
WanaCCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma.
إرسال تعليق