Kama
kawaida yake msanii asiye ishiwa vituko, lady Gaga katika show yake ya
juzi amefanyaa kioja cha aina yake baada ya kuipasua ngua yake ya
leather Usawa wa makalio huku akipiga bonge la show kwa mtindo wa
Pikikpiki. Imeelezwa kuwa piki piki hiyo baada ya show inatarajiwa
kupigwa mnada wa $12,000 sawa na sh milioni 19.2 za Ki Tanzania.
إرسال تعليق