Matokeo ya CAF 2013 na Ratiba

Angola 1 0 1 0 1
Cape Verde 1 0 1 0 1
Morocco 1 0 1 0 1
South Africa 1 0 1 0 1












Matokeo ya mechi za kundi A

19/01/2013 Afrika Kusini 0 Cape Verde 0
19/01/2013 Angola 0 Morocco 0
________________________________________
23/01/13:

  • Afrika Kusini dhidi ya Angola (Saa Kumi na mbili Jioni)
  • Morocco dhidi ya Cape Verde (Saa Tatu za Usiku)
27/01/13:
Afrika Kusini dhidi ya Morocco (Saa Mbili za Usiku)
Cape Verde dhidi ya Angola (Saa Mbili za Usiku)

Msimamo kundi B

Timu Imecheza Imeshinda sare Imeshindwa Pointi
Mali 1 1 0 0 3
DR. Congo 1 0 1 0 1
Ghana 1 0 1 0 1
Niger 1 0 0 1 0






Matokeo ya mechi za kundi B

20/01/2013 Ghana 2 DRC 2
20/01/2013 Mali 1 Niger 0
_________________________________________________________
24/01/13:

  • Ghana dhidi ya Mali (Saa Kumi na Mbili za Jioni)
  • Niger dhidi ya DR Congo (Saa Tatu za Usiku)
28/01/13:
Ghana dhidi ya Niger (Saa Mbili za Usiku)
DR Congo dhidi ya Mali (Saa Mbili za Usiku)
________________________________________________________

Msimamo wa Kundi C

Timu Imecheza Imeshinda Imetoka sare Imeshindwa Pointi
Ethiopia 1 0 1 0 1
B. Faso 1 0 1 0 1
Nigeria 1 0 1 0 1
Zambia 1 0 1 0 1






Matokeo 21/01/13:

Zambia 1 Ethiopia 1
Nigeria 1 Burkina Faso 1
25/01/13:

  • Zambia dhidi ya Nigeria (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
  • Burkina Faso dhidi ya Ethiopia (Saa tatu za Usiku)
29/01/13:
  • Zambia dhidi ya Burkina Faso (Saa Mbili za Usiku)
  • Ethiopia dhidi ya Nigeria (Saa Mbili za Usiku)

Msimamo wa Kundi D

Timu Imecheza Imeshinda Sare Imeshindwa Pointi
I.Coast 1 1 0 0 3
Tunisia 1 1 0 0 3
Algeria 1 0 0 1 0
Togo 1 0 0 1 0






_________________________________________________________

Matokeo 22/01/13:

  • Ivory Coast 2 Togo 1
  • Tunisia 1 Algeria 0
26/01/13:
  • Ivory Coast dhidi ya Tunisia (1500)
  • Algeria dhidi ya Togo (1800)
30/01/13:
  • Ivory Coast dhidi ya Algeria (Saa Mbili za Usiku)
  • Togo dhidi ya Tunisia (Saa Mbili za Usiku)

Quarter-finals

02/02/13:
  • Mshindi wa kundi B kupambana na timu ya pili kundi A (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
  • Mshindi wa kundi A kumbana na timu ya pili kundi B (Saa tatu na nusu za Usiku)
03/02/13:
Mshindi wa kundi D dhidi ya timu ya pili kundi C (Saa Kumi na mbili jioni)
Mshindi wa kundi C dhidi ya timu ya pili kundi D ( (Saa tatu na nusu za Usiku)

Semi-finals

06/02/13:
Mshindi wa robo fainali ya pili dhidi ya mshindi wa robo fainali ya tatu saa (Saa Mbili za Usiku)
Mshindi wa robo fainali ya nne dhidi ya mshindi wa robo fainali ya kwanza (Saa tatu na nusu za Usiku)

Third place play-off

09/02/13:
Timu itakayoshindwa katika mechi ya nusu fainali (Saa tatu Usiku)

Final

10/02/13:
Washindi wa mechi ya nusu fainali (Saa Tatu za Usik

Post a Comment

أحدث أقدم