Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege nchini (ATCL), Kapteni Milton
Lazaro (wa pili kushoto), akipeana mkono na Al Sayyid Fahar Bin Taimur
ambaye ni mwakilishi Kampuni ya Al Hayat nchini Tanzania. Kushoto ni
Mwenyekiti wa kampuni hiyo Shekhe Salim Al Harthy na kulia ni Bw. Saeed
Bawaziri. Ujumbe huo ulitembelea Ofisi za ATCL kujionea utendaji kazi
wao wakati hatua za kufanikisha uwekezaji katika shirika hilo
zikiendelea.Na Mpiga picha wetu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege nchini (ATCL), Kapteni Milton Lazaro Akipena Mkono na Al Sayyid Fahar Bin Taimur ambaye ni mwakilishi Kampuni ya Al Hayat nchini Tanzania ambayo Ndio Wawekezaji Wapya ATCL
Hisia
0
إرسال تعليق