Staa wa movie kutoka Nigeria mrembo
Genevieve Nnaji mwaka huu 2013 tangazo kuhusu movie yake mpya limeitaja
’30 days’ kama movie yake ambayo ndio itatoka yeye akiwa muhusika mkuu
na ikiwa imeongozwa na Mildred Okwo.
Japo movie yake haijatangazwa itatoka siku gani lakini uhakika ni kwamba ndani ya hilo picha wapo wakali wengine pia kama Joke Silva na Segun Arinze.
Japo movie yake haijatangazwa itatoka siku gani lakini uhakika ni kwamba ndani ya hilo picha wapo wakali wengine pia kama Joke Silva na Segun Arinze.
Kuitazama hii Trailer, bonyeza palipoandikwa Play Preview..
Post a Comment