- Gereza la Masasi lavunjwa na waandamanaji .....
- Magari 18 na pikipiki 7 na Jenereta la halmashauri vyachomwa moto
- Majeruhi wakimbizwa Ndanda hospital
Gari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) ya halmashauri - Masasi
Nyumba ya Mbunge Viti maalumu CCM - Maria Kasembe ikiteketea kwa moto
Magari ya Halmashauri na ya Wafanyakazi - Masasi
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya - Masasi.
Ofisi za Maliasili na Ardhi - Masasi
Ofisi za Elimu - Masasi
Jenereta la Manispaa - Masasi
Wauguzi wa Ndanda Hospital wakiwa stand by kupokea majeruhi
Post a Comment