Hali si shwari Masasi.... angalia matukio picha


  • Gereza la Masasi lavunjwa na waandamanaji .....
  • Magari 18 na pikipiki 7 na Jenereta la halmashauri vyachomwa moto
  • Majeruhi wakimbizwa Ndanda hospital
Gari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) ya halmashauri - Masasi


Nyumba ya Mbunge Viti maalumu CCM - Maria Kasembe ikiteketea kwa moto


Magari ya Halmashauri na ya Wafanyakazi  - Masasi

Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya - Masasi.

Ofisi za Maliasili na Ardhi - Masasi

Ofisi za Elimu - Masasi

Jenereta la Manispaa - Masasi

Wauguzi wa Ndanda Hospital wakiwa stand by kupokea majeruhi






Post a Comment

أحدث أقدم