
Ili kuongeza ushiriki wa wananchi , Bodi ya Miss Utalii Tanzania
imezindua Rasmi upigaji Kura wa kumpata mshindi wa taji la Miss Utalii
Tanzania 2012/13 kupitia tovuti. Fulsa hii ni kwa watu wote ndani na Nje
ya Tanzania.
Bofya Link Hii kumpigia Kura Mrembo wa Mkoa wako ashinde: http://misstourismorganisation.blogspot.com/p/meet.html
إرسال تعليق