MTAKI NA GRACE WALIPOUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA MBELE ZA MUNGU

Maharusi Tarcisius Majura Mtaki akiwa katika pozi na Mke wake Kipenzi, Grace Kindimba mara baada ya wawili hao kuamua kuwa mwili mmoja kwa Kufunga ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenge jijini Dar es Salaam na baadae kufuatiwa na tafrija ya kukata na Singe katika ukumbi wa Zhonghua uliopo Victoria jijini humo.
Photos by: MD Digital Company; +255 755 373999/ +255 717 002303.

Post a Comment

أحدث أقدم