Nicol yakanusha tuhuma dhidi ya Dk. Reginald Mengi.. .


Kampuni ya taifa ya uwekezaji Nicol imekanusha tuhuma zinazomhusisha mwenyekiti mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi kuishinikiza kampuni hiyo kuinunua kampuni ya madawa ya Inter Chem ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro

Post a Comment

Previous Post Next Post