Styles za nywele alizoanza kutumia miezi ya hivi karibuni muigizaji
maarufu na mwenye vituko vingi Nisha zimeanza kudiskasiwa/kujadiliwa na
watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wake kuwa anawaiga wasanii maarufu
Lady Gaga na Nick Minaj ili aonekane tofauti na mastaa wenzake wa Bongo
hivyo kujiongezea umaarufu. Watu hao wamekwenda mbali zaidi kwa kusema
Nisha anaweza hata kuyanywea dawa makalio yake ili yatune kama ilivyo
kwa Nick Minaji."si unaona nywele za Nisher kila siku ni za rangi
tofauti, angalia matiti yake kama ya Nick Minaji na hata kope nafikiri
bado makalio tu". Swahiliworldplanet kama kawaida lilimtafuta Nisha na
kumuweka mtu kati na alikuwa na haya ya kusema "Nywele hizi nimenunua na
sijachukua kwa Nicky wala lady gaga,,zinauzwa kama zinavyouzwa
nyeusi,ila napenda crazy colours na ndio maana nazipenda,kila m2 ana
role model wake,,mi wangu ni Nick minaj,,nampenda ila simuigi".
Post a Comment