
Sudi Baya amefunguka baada ya taarifa za ku copy nyimbo ya Marehemu Mr. Ebbo kuenea na kumfikia.
Nanukuu
"nyimbo yangu ya mademu dar resalamu kiukweli na kanusha cja mkopi
marehemu mr ebo kwa mimi najuwa nacho fanya na isikilizeni nyimbo hiyo
kisha msikilize mwalimu dasarani ya mr ebo theni mseme nilicho sampu
ninini jamani cyo kuniambia nime smpu wapi.................sija kopi ila
mimi ni mjukuu na hakiya kukopi kama na itaji ila siyo sasa..."
Post a Comment