Msanii wa Bongo Fleva hapa nchini Belle 9 baada ya kuachia ngoma yake
mpya siku za hivi karibuni inayokwenda kwa jina la Listen huku tukiwa
tunasubiri ujio wa video hiyo mpya ambayo amefanya director Nisher
kutoka Arusha.Sasa habari ambayo tumeipat ni kwamba video ipo tayari na
wakati wowote itakuwa hewani.

إرسال تعليق