
Hawa wachawi na teknolojia yao ya giza katika karne hii ya sayansi na 
teknolojia wanazidi kutuonesha maajabu yao. Baada ya mwanamke mmoja 
kusumbuliwa na maumivu ya tumbo kwa muda mrefu ndipo alipoaamua kwenda 
kwa mchungaji mmoja kufanyiwa maombi huenda Mungu akasikia kilio chake, 
kioja kilitokea hapo ambapo mwanamke huyo alipohisi kuna kitu kina mtoka
 sehemu za siri na ndipo nyoa huyo mwenye urefu wa nchi 20 alipotoka 
katika ikulu zake.Baada ya tukio hilo mwanadad huyo alisema kuwa alikuwa
 na tabia ya kulalal na wanaume tofauti tofauti ambapo kila mwanaume 
atayekubali kulala nae hupata ugonjwa wa ajabu ambao hautibiki 
hospitali, kifupi alikuwa akiwachezea.
Post a Comment