Siku za hivi karibuni baada ya Mwana FA kufunguka katika mtandao na
kusema kwamba anatarajia kwenda nchini South African kufanya video wa
wimbo wake mpya ambao ameshirikisha band kongwe inayofahamika kwa jina
la Kilimanjaro Band na Domokaya,Mandojo.
Sasa leo mchana chini ya director Karabani pamoja na Mwana FA walikuwa wakifanya shooting wa wimbo huo mpya ambao soon mwana FA anatarajia kuipelekea video hiyo nchini South Africa kwa ajili ya editing kama ilivyoripotiwa na watu wa God Father ambao watahusika katika kuifanyia editing video hiyo mpya.

Mwana FA,Bill na Domokaya
Mandojo
Domokaya
إرسال تعليق