


Hii ni katika kesi inayomkabili mwanada Jodi Arias ambaye mnamo mwaka
2008 alimua Mpenzi wake wa muda Mrefu Travis Alexander huku akijitetea
kwamba ni Self Defense. Picha hizo zimekutwa katika kamera ya Marehemu
huyo, ambaye mtuhumiwa awali alidai kuwa walikuwa ni marafik tu.
إرسال تعليق