Msanii maarufu kama Lady J Dee a.k.a Binti Mchozi baada kufika mkoani
Arusha na mumewe Gadner G kwa kuajili ya kuupanda mlimani Kilimanjaro
sasa katika safari yao wa kuupanda mlimani huo walipitia katika njia ya
Marangu na safari hiyo ni ya siku sita huku ikiongozwa na kampuni ya
Kilidove Tours na Safari Ltd ya Arusha.
Hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika safari yao.
Hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika safari yao.







Post a Comment