PICHA:LADY J DEE NA GADNER WAKIWA ARUSHA KATIKA SAFARI YAO YA KUPANDA MT.KILIMANJARO

 Msanii maarufu kama Lady J Dee a.k.a Binti Mchozi baada kufika mkoani Arusha na mumewe Gadner G  kwa kuajili ya kuupanda mlimani Kilimanjaro sasa katika safari yao wa kuupanda mlimani huo walipitia katika njia ya Marangu na safari hiyo ni ya siku sita huku ikiongozwa na kampuni ya Kilidove Tours na Safari Ltd ya Arusha.

Hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika safari yao.





Post a Comment

أحدث أقدم