Baadhi ya Wakaguzi wa Tarafa wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wakiwa
katika pikipiki zao baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi, ambapo jumla ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa
kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la matumizi ya Wakaguzi
Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya Zanzibar, program za
Safiri Salama na Usalama wetu kwanza
Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Mwema akimkabidhi pikipiki Kamanda wa
Polisi Kikosi cha Mbwa na Farasi Tanzania Mrakibu wa Polisi Eugen
Emmanuel, kwa ajili ya matumizi ya Programu ya Usalama wetu Kwanza.jumla
ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la
matumizi ya Wakaguzi Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya
Zanzibar, program za Safiri Salama na Usalama wetu kwanza.
إرسال تعليق