Mwenyekiti
wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama ya Jumuiya
ya Maendeleo kusini Mwa
Afika SADC Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete (wa pili kulia) akiwa pamoja
na Rais wa
Madagascar Andry Rajoelina (kulia),Rais Wa Namibia
Hifikepunye Pohamba (kushoto) na Rais wa
Msumbiji Armando
Guebuza, wakati wa kikao cha A
sasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama cha
SADC, kilichofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na
Freddy Maro
إرسال تعليق