Kupitia mtandao wa allhiphop.com leo hii, Miami rap star Rick Ross
hatimae kaonesha tittle ya albam yake inayofata ambayo itakua ni ya
sita.
Jana kupitia mtandao wa jamii (january 7) alifunguka kuhusu jina la albam hiyo ambayo ni Mastermind.
Ross alitakiwa kutambulisha jina la album hiyo siku ya mwaka mpya lakini hakufanya hivyo mpaka leo hii.

Post a Comment