RICK ROSS AACHIA JINA LA ALBAM YA SITA

20130107-151802.jpg
 
Kupitia mtandao wa allhiphop.com leo hii, Miami rap star Rick Ross hatimae kaonesha tittle ya albam yake inayofata ambayo itakua ni ya sita.
Jana kupitia mtandao wa jamii (january 7) alifunguka kuhusu jina la albam hiyo ambayo ni Mastermind.
Ross alitakiwa kutambulisha jina la album hiyo siku ya mwaka mpya lakini hakufanya hivyo mpaka leo hii.

Post a Comment

أحدث أقدم