![]() | |
| MAMA MZAZI WA MAREHEMU SAJUKI |

Aliyekua
msanii wa tasnia ya filamu Juma kilowoko alimaarufu kama
sajuki,amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumatano tarehe 2.01.2013
katika hospitali ya taifa ya muhimbili
Sajuki alizaliwa mwaka 1986 jijini Songea mkoani Ruvuma,ameacha mjane na mtoto mmoja wa kike
Kulingana
na maelezo ya baba yake mzazi wa marehemu ameeleza kuwa sajuki atazikwa
siku ya ijumaa tarehe 4 mwez wa kwanza 2013 katika makaburi ya kisutu
jijini Dar Es Salaam
MAZISHI YA JUMA KILOWOKO 'SAJUKI' YATAKUWA IJUMAA SAA TANO KWENYE MAKABURI YA KISUTU DAR ES SALAAM
Msiba upo nyumbani kwake Tabata Bima-Umoja Road karibu na RN Bar

إرسال تعليق