Shaa baada
ya ukimya katika muziki wa Bongo Fleva sasa mwaka huu amejipanga vema
na ameweka wazi kupitia katika mtandao wa instagram, kwamba siku ya
tarehe 28 mwezi huu anatarajia kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa
jina la "Promise" na akaamua kuweka cover mpya ya ngoma hiyo.
Wale mashabiki wa Shaa Kaa tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwa msanii huyo soon kutoka.
Wale mashabiki wa Shaa Kaa tayari kwa ujio huo mpya kutoka kwa msanii huyo soon kutoka.
إرسال تعليق