Shabiki Mshenzi!!!

  Kamera imemfuma jamaa huyo ambaye alikuwa katika watu wa mbele wakati msanii huyo anapiga show, badala ya kutoa mkono kumpa msanii huyo kama mashabiki wengine yeye anaamua kumfunua gauni kabisa, hawa hata bongo wapo, sema kinachookoa kwa bongo ni steji kuwa juu zaidi ambapo huishia kuwa chungulia wasanii wa kike tu.

Post a Comment

Previous Post Next Post