Kamera imemfuma jamaa huyo ambaye alikuwa katika watu wa mbele
wakati msanii huyo anapiga show, badala ya kutoa mkono kumpa msanii huyo
kama mashabiki wengine yeye anaamua kumfunua gauni kabisa, hawa hata
bongo wapo, sema kinachookoa kwa bongo ni steji kuwa juu zaidi ambapo
huishia kuwa chungulia wasanii wa kike tu.
إرسال تعليق