Kuzaa kwasababisha Britney Spears kukimbiwa na Mchumba wake
Hisia0
Ripoti zimesema kwamba kisa cha Britney Spears kuvunja Uchumba na Jamaa
wake wa sasa Jason Trawick kimetokana na Binti huyo kudai kuzaa wakati
jamaa hana mpango wa kuwa baba kwa sasa.
إرسال تعليق