KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA MUDA MCHACHE BAADA YA NDEGE KUWASILI


VIONGOZI
WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKISHUHUDIA UJIO WA SAFARI ZA
KWANZA ZA PRECISION AIR MKOANI MBEYA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA
SONGWE.

KILA MWANDISHI ANAJITAJIDI KUPATA PICHA NZURI YA NDEGE

WAFANYAKAZI WA PRECISION AIR WAKIWA WAMEPENDEZA MUDA HUU KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA

BURUDANI BADO INAENDELEA HAPA

VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWA WANATAZAMA KWA UMAKINI NGOMA YA ASILI IKITUMBUIZA

HII NI MEZA KUU

NAO
WAKAZI WA SONGWE MKOANI MBEYA WAMEFIKA UWANJA WA NDEGE KUSHUHUDIA JINSI
NDEGE YA SHIRIKA LA PRECISION AIR ILIPO TUA ENEO HILO.

MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHESHIMIWA NORMAN SIGALA, AKIONGEA MUDA BAADA YA NDEGE KUWASILI

MKURUGENZI
MTENDAJI WA PRECISION AIR NDUGU SHIRIMA AKIONGEA NA WAGENI WAALIKWA
PAMOJA NA WANANCHI WALIO JITOKEZA KATIKA KUPOKEA NDEGE HIYO AMBAYO
INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA NA KUWASHUKURU KWA MAPOKEZI
HAYO.


MSHEHERESHAJI MC CHARLES MWAKIPESILE AKIZUNGUMZA JAMBO WAKATI WA SHEREHE HIZO
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
إرسال تعليق