![]() |
| Ustadh Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar. |
![]() |
| Wanawake mbalimbali waliohudhuria. |
![]() |
| Ustadh Ali Twalib Mohamed,wa Kibanda Hatari Mjini Zanzibar akisoma Maulid Barzanj Mlango wa kwanza katika kusherehekea kwa kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Maulid hayo. |
![]() |
| Waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria kwenye Maulid hayo. |









Post a Comment