Siri ya Mtungi yaanzisha ''Siri ya Mtungi Star Search '' kwa ajili ya kuvumbua vipaji vipya vitakavyoigiza Siri ya mtungi msimu wa pili


 Je umeshawahi kuwa na ndoto ya kuwa muigizaji? Sasa ni nafasi yako kupitia Siri ya Mtungi staa search. Tunatafuta vipaji vipya kuingiza katika msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi.

Fomu: https://bitly.com/SvZAji

Post a Comment

Previous Post Next Post