Msanii wa kizazi kipya wa Hip Hop maarufu kama Stamina baada ya kutamba
na ngoma kali mwaka jana,sasa mwaka huu amejipanga vema na anatajia
kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Wazo la Leo akiwa
amefanya collabo na Fareed Kubanda a.k.a Fid Q.Kama wewe ni shabiki wa Stamina hii inatuhusu sana.
amefanya collabo na Fareed Kubanda a.k.a Fid Q.Kama wewe ni shabiki wa Stamina hii inatuhusu sana.
إرسال تعليق