Taswira:Mkutano wa siku mbili wa Kamati Kuu pamoja na Wabunge wa Chadema

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe (kulia) akizungumza na Katibu wake, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa wakati wa Mkutano wa siku mbili wa Kamati Kuu pamoja na Wabunge wa chama hicho uliyoanza jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chadema Taifa, Said Arfi. Picha na Salhim Shao 

Post a Comment

أحدث أقدم