Hii
ni sehemu ya ukuta wa kituo cha Mabasi ya kwenda mikoani na nje ya nchi Ubungo jijini Dar es Salaam, leo(Januari 21,2013)
alfajiri umeanguka na kuyaharibu vibaya magari zaidi ya ishirini yaliyokuwa
yameegeshwa nje ya eneo hilo.
Akizungumza
na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles
Kenyela amesema, idadi ya magari yaliyoangukiwa yanakadiriwa kufikia 24.
|
Post a Comment