THIS IS DIAMOND; WABONGO WAMEFUNGUNGUKA NA KUANZA KUPIGA MACHATA YA DALADALA ZAO KWA KUTUMIA JINA LA DIAMOND THE PLATNUM


Zamani ilikuwa ni vigumu sana kukuta kitu kama hiki...pengine ungekuta kaandikwa Usher Raymond
50 Cent...Bob Marley n.k ila kwasasa Watanzania wameanza kusanuka na kupenda vya nyumbani....
kiukweli mi mwenyewe sikuwa na hili wala lile ila nilipokuwa katika harakati za kuelekea Airport
ghafla nilikutana na hii gari aina ya Ice...WATANZANIA TUPENDE VYA KWETU
CREDIT KWA THIS IS DIAMOND

Post a Comment

أحدث أقدم