Ubalozi wa Kenya wamkana anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

Sakata la kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka limechukua sura mpya baada ya Balozi wa Kenya Bw Mutinda Mutiso kusema kuwa hawamtambui mtu huyo.

Chanzo: ITV habari za saa

Post a Comment

Previous Post Next Post